KAMPENI BY GOODLUCK GOOZBERT
Official video is now out
Produced by Still Alive Productions
LYRICS
Verse 1
Waliponikaribia na Kuniaibisha Eeh,
Haukunyamaza ukanipigania Eeh,
Waliponivua Utu na Kulichana vazi Langu la Heshima,
Ulinikumbatia Nisiaibike,
Waliposema Mi mjinga,Ujinga Ninao, Sababu Hekima Haizidi Upendo, Nilipo yafunika Madhaifu Yao, Kumbe Tafsiri mi Ni Mjinga Kwao,
Bridge
Hata Nilipokaa Kimya Wewe Uliona Yote,Uliponyamaza Hukuacha Nife Ninakushukuru Ooh Ooh Chinedumo,Asante Ooh Ooh Igwe
Chorus
Nitafanya Kampeni, Za wema wako,Wajue Mungu Ni Mwema
Nitafanya Kampeni Za Wema Wako,Wajue Yesu U mwema
Verse 2
Unaponibariki Bariki Adui zangu
Ili Wasinisonge Kutaka Uhai Wangu
Unapopiga Mapigo Samehe Rafiki Zangu
Wanaoning’ata Alafu wanapuliza Puuh